iqna

IQNA

sura za qurani tukufu
Mawaidha
IQNA - Surah Al-Fatiha ndio sura pekee ya Qur'ani Tukufu ambayo aya zake zote zinahusu kuswali na kumwabudu Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3478175    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/10

Sura ya Qur'ani Tukufu /1
TEHRAN (IQNA) – Surah Al-Fatiha, ambayo ni sura ya kwanza ya Qur’ani Tukufu, imetajwa kuwa “Mama wa Qur'ani”.
Habari ID: 3477649    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/25

Sura za Qur'ani Tukufu /114
TEHRAN (IQNA) - Shetani ni adui aliyeapa wa wanadamu ambaye daima anajaribu kuwapoteza watu. Lakini pia kuna baadhi ya watu wanaotenda kama Shetani na kuwafanya wengine wapotee.
Habari ID: 3477615    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/18

Sura za Qur'ani Tukufu /113
TEHRAN (IQNA) – Watu hukabiliana na ugumu na shida nyingi maishani, ambazo baadhi yake hazijatokana na mienendo yao wenyewe bali ni matokeo ya hali au njama tofauti za wengine.
Habari ID: 3477600    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/15

Sura za Qur'ani Tukufu /112
TEHRAN (IQNA) - Kuna aya na Sura tofauti za Qur'ani Tukufu ambamo sifa za Mwenyezi Mungu zimeelezwa ndani yake, lakini Sura Al-Ikhlas, ambayo ni sura fupi, inatoa maelezo kamili kuhusu sifa za Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3477552    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/05

Sura za Qur'ani Tukufu /110
TEHRAN (IQNA) - Baadhi ya aya za Qur'ani Tukufu zinahusu yale yatakayotokea siku zijazo, kama vile ushindi wa Waislamu na kuenea kwa Uislamu duniani.
Habari ID: 3477520    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/30

Sura za Qur’ani Tukufu /109
TEHRAN (IQNA) – Katika aya moja ya Qur’an Mwenyezi Mungu anamwamrisha Mtume Muhammad (SAW) awaambia makafiri wabakie na dini yao.
Habari ID: 3477511    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/28

Sura za Qur'ani Tukufu /108
TEHRAN (IQNA) – Mwenyezi Mungu katika Sura Al-Kawthar ya Qur’ani Tukufu anazungumza kuhusu neema kubwa aliyopewa Mtukufu Mtume Muhammad (SAW).
Habari ID: 3477478    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/22

Sura za Qur'ani Tukufu /107
TEHRAN (IQNA) - Watu hufanya kila kitu kufikia furaha kwa sababu wanaamini wanapaswa kuwa na maisha bora zaidi katika ulimwengu huu. Lakini kuna watu wanaodhani furaha sio tu katika dunia hii na kwamba mtu lazima ajitahidi kufikia furaha huko akhera pia.
Habari ID: 3477469    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/20

Sura za Qur'ani Tukufu /106
TEHRAN (IQNA) - Maisha ya kikabila yana sifa zake maalum. Mojawapo ya sifa kuu za maisha kama haya ilikuwa uhusiano wa karibu kati ya watu wa kabila na hii imeonyeshwa katika Sura Al-Qurasyh ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3477443    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/15

Sura za Qur'ani Tukufu / 104
TEHRAN (IQNA) – Baadhi ya watu hufikiri kwamba kwa sababu wako katika nafasi ya juu au wana hadhi fulani, wanaweza kuwadhihaki au kuwadhalilisha wengine.
Habari ID: 3477404    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/09

Sura za Qur'ani Tukufu / 103
TEHRAN (IQNA) – Qur’ani Tukufu, katika Sura Al-Asr, inasisitiza kwamba mwanadamu, katika maisha yake duniani, daima yuko katika hali ya hasara, lakini pia inatanguliza njia za kukaa mbali na hasara.
Habari ID: 3477396    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/07

Sura za Qur'ani Tukufu/ 102
TEHRAN (IQNA) – Wanadamu wanasukumwa na tamaa ya kuwa na vitu vingi zaidi na zaidi vinavyowafanya wajisikie bora kuliko wengine. Hii inawaweka katika msako usio na mwisho na usio na maana wa vitu ambavyo havina thamani halisi, na kuwaondoa kutoka lengo lao halisi katika maisha ya dunia.
Habari ID: 3477383    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/05

Sura za Qur'ani Tukufu/96
TEHRAN (IQNA) – Aya 5 za mwanzo za Surah Al-Alaq zinazosisitiza kusoma na kupata elimu ni aya za kwanza zilizoteremshwa na Malaika Jibril kwa Mtume Muhammad (SAW).
Habari ID: 3477363    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/31

Sura za Qur'ani Tukufu / 101
TEHRAN (IQNA) – Moja ya alama za Siku ya Kiyama ni hali ya kuchanganyikiwa katika ardhi ambapo milima itakuwa laini kama sufi.
Habari ID: 3477356    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/29

Sura za Qur'ani Tukufu / 100
TEHRAN (IQNA) – Mwanadamu ndiye kiumbe bora kabisa aliyeumbwa na Mwenyezi Mungu. Lakini wakati mwingine anakemewa katika baadhi ya aya za Qur'ani Tukufu kwa sababu tofauti, ikiwa ni pamoja na kutoshukuru na kusahau baraka za Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3477342    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/26

Sura za Qur'ani Tukufu / 99
TEHRAN (IQNA) – Kwa mujibu wa tafsiri za Qur’ani Tukufu na vitabu vya dini, miisho ya nyakati na Siku ya Kiyama ina dalili fulani, mojawapo ikiwa ni tetemeko kubwa la ardhi ambalo baada yake wafu wote watafufuka.
Habari ID: 3477333    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/24

Sura za Qur'ani Tukufu /98
TEHRAN (IQNA) – Qur’ani Tukufu inatoa tathmini ya makundi mbalimbali ya watu na kuwaainisha kulingana na mienendo na tabia zao.
Habari ID: 3477319    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/22

Sura za Qur'ani Tukufu /97
TEHRAN (IQNA) – Laylat al-Qadr au Usiku wa Qadr ni usiku wa thamani sana katika mwezi mtukufu wa Ramadhani na kuna sura katika Qur'ani Tukufu kuhusu hilo.
Habari ID: 3477307    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/19

Sura za Qur’ani Tukufu /95
TEHRAN (IQNA) – Katika baadhi ya aya za Qur’an kama vile Aya ya 4 ya Surah At-Tin, Mwenyezi Mungu anasema amemuumba mwanadamu katika umbo bora kabisa, na hivyo ni juu ya kila mtu mwenyewe kutenda mambo mema zaidi ili kufikia uwezo uliomo ndani yake.
Habari ID: 3477285    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/15